welcome to s-media online service

  • Delicious
  • Facebook
  • Twitter

LATEST BONGO MOVIES

ALICE and JANEL staring Hemed!
NDOA YANGU Staring kanumba
FOUR ANGLE staring King majuto

ADVERTISEMENT


Popular Posts

PICHA ZA HABARI MPYA

BEST TZ ARTIST

ADVERTISEMENT

RAIS KIKWETE ATEMBELEA MAKANISA YALIYOHARIBIWA KATIKA VURUGU ZA WAISLAMU MBAGALA, ATOA POLE KWA WAUMINI, AWAHAKIKISHIA MKONO WA SHERIA KUWANASA WOTE WALIOHUSIKA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia uharibifu mkubwa uliofanywa katika kanisa la Pentekoste la Mbagala jijini Dar es salaam wakati wa vurugu za Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari kuwa kuna mtoto amekojolea Msahafu.

HABARI ZA KIMATAIFA - Rais wa Mauritania apigwa risasia

Rais wa Mauritania, Mohamed Ould Abdel Aziz, anapelekwa Ufaransa kwa matibabu zaidi baada ya kujeruhiwa alipopigwa risasi... ...

MICHEZO - Masikitiko kwa Uganda

Zambia, wakiwa ugenini Kampala, waliweza kuwafunga wenyeji wao Uganda magoli 9-8 kupitia mikwaju ya penalti, na kujiweka katika nafasi nzuri ya kuutetea ubingwa wao, katika fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2013, kufanyika nchini Afrika Kusini, mwezi Januari. Mikwaju 20 ya penalti ilihitajika kubainisha ni nani mshindi na aliyeshindwa, kufuatia Uganda kutangulia bao 1-0 katika mechi ya mjini Kampala. . ....

BURUDANI - Jela yamwita Justin Bieber

MWIMBAJI kinda, Justin Bieber, huenda akafungwa miezi sita jela iwapo atapatikana na hatia ya kumpiga Paparazi aliyetaka kumpiga picha huko Los Angeles. ...

MOVIE AND FILM - NDOA YANGU YA KANUMBA IPO MADUKANI SASA

Movie ambayo watanzaniaa wengi waliisublia kwa hamusasa yatoka ...

Love zone

 SABABU KUU SITA  ZINAZOWEZA KUMFANYA MWANAUME AU MWANAMKE KUINGIA KWENYE MAHUSIANO YA KIMAPENZI

 






Zipo sababu zinazoweza kumfanya mwanamke au mwanaume kujikuta ana tamaa au hamu ya kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi!

1.KUBAREHE

Hii ni sababu kuu ambayo watu wengi
wameingia kwenye mahusiano ya kimapenzi na sababu ni kubarehe,kwanza nieleze kubarehe kubarehe ni hatua katika hukuaji wa mwanadamu pale ambapo anapevuka na kujiona  au kuwa mtu mzima hatua hii kisayansi inaaminika kuwa,mwanau,e anapo barehe hupenda kuwa na mahamuzi yake binafsi na hapendi kuendeshwa kama mtoto tena.Na kwa mwanamke wanasayansi husema anaanza kujiona mtu mzima na akili pamoja na mahumbile yake yanabadilika mwanamke akifika stage ataanza kuwa msafi mwenye kujipenda na kama alikuwa anamichezo ya kijinga huwa anaacha.
Sasa kutokana na mabadiliko hayo kwa mwanamke na mwanaume kunapelekea mwanamme kuanza kupenda yaan kuvutiwa na mwanamke,pengine huvutiwa kwa ajili yake binafsi yaani kwa ajili ya msisimko unaosababishwa na mabadiliko ya mwili wake,au kutokana kujiisi mtu mzima kwahiyo kufanya maaamuzi anayohisi ya muonesha yeye ni mtu mzima,nawengi saaana  hukianagalia walia anzia wapi mahusiano ni katika kipindi cha kubarehee.

2.MSUKUMO WA KIMAKUNDI 


Hakuna kitu kinacho mwathiri mtu kisaikolojia kama msukumo wa kimakundi maana unamfanya mtu kuwa wa aina fulani baada ya kuwaona wakinafulan wako wanishi maisha fulani,msukumo wa kimakundi unaweza hukamuthiri mtu kuingia katika vitu flan hata bila kupenda
hivi ndivyo mtu anaweza kujikuta ameeingia kwenye mahusiano kwasababu tu kundi la watu anao ongea nao wapo kwenye mahusiano nayeye anapo onekana hayupo anajiisi kama amekosa kitu kutokana na wenzie wanavyo muelezea jinsi wanavyo enjoy kwenye mahusiano na pengine kumcheka,hii uathiri pande zote mbili kwa wanaume na kwa wanawake pia,Nawatu wengi wanapona na hali kama hiyo ujiisi kama wao ni washamba na huenda akatafuta mtu yeyote hata asiye mpenda hili tu kuikwepa aibu hiyo.

3.HOFU YA KUTOOLEWA(kwa jinsia ya kike)

Wanawake wengi wameamua kuanzisha au kuingia kwenye mahusiano kwa hofu kama hatabaki bila mtu anaweza asiolewe.kama tuna vyojua heshima ya mtoto wa kike ni ndoa so wanawake wamejikuta kutokataa mwanaume kwa imani ya kwamba huenda huyo mwanaume akamuoa na mda mwingine mwanamke anafikia kutongoza mwanaume akiwa na hofu hiyohiy.sababu hii mwanamke anaweza akwa amependa au hatakama ajampenda huyo mtu.

4.TAMAA

Tamaa ni moja sasbabu kubwa inayoweza kumfanya mwanaume au mwanamke kuingia kwenye mahusiano ya kimapezi yaweza ikawa tamaa ya kimwili kumtamani mtu kwa kumtaka kimwili, yaweza ikawa tamaa ya mali kutaka mali kwa njia fupi,inaweza ikawa tamaa ya kutaka mtoto mapema.n.k Sababu n
imewafaya  watu wengi kuingia katika mahusiano ya kimapenzi kisa na sababu ni kutamani tu na sio kwahiari yao bali kwa kuongozwa na tamaa.

5.KUPENDA AU KUMPENDA MTU AU KUPENDWA

Tunachoamini kila mwenye moyo anaweza akapenda kutokana na sababu za kisaikolojia pamoja na sababu za kimwili pia,nikwamba macho huona  na moyo kupendezewa na kile macho ilichoona hii ndiyo sababu ina mfanya mwanadamu kuvutiwa na mtu na kutaka kuwa nae katika mahusiano ya kimapenzi sio siri hakuna mtu ajawahi kupenda au kama aujawahi basi hipo siku atakuja kupenda tu,na unapompenda mtu huwa unavutiwa kuwa nae karibu nahatimae kuanzisha nae mahusiano,

6.KWA HISIA ZA KWAMBA MAPENZI NI FARAJA

Kama nilivyoeleza awali kwamba mwanadamu uongozwa na hisia kwahiyo naweza akisikia kjambo na kulihisi vile apendavyo ndivyo ilivyo katika watu wanaanzisha mahusiano weng wameanzisha kutokana na kuamini kuingia kwenye mahusiano ni kama faraja au kuwa na mtu ni faraja pengine kwa kusikia  au ameona kwa wtu fulani,na wengi saana kutokana na sababu hii wamejikuta kwenye mausiano ya mapenzi.