VIFAHAMU VIFAA VIKUU KWENYE KOMPUTER YAKO AMBAVYO NI MUHIMU KUJUA KAZI YAKE
Computer inavifaa vingi muhimu ambavyovinasaidia utendaji kazi wa komputer.Lakini kuna vifaa ambavyo vina umuhimu au ni vikuu na ndivyo vinachangia asilimia80 ya komputer kufanya kazi vifaa hivyo ni kama:-
1.PROCESSOR(CPU)
huundio ubongo wa kompyuta pia ndio kama moyo wa kompyuta kamwe kompyuta aiwezi kufanyakazi bila kifaa hiki na pia ndicho kifaa kinacho tofautisha ukubwa wa kompyuta.na ufanyaji kazi wa kompyuta.kwa jina lingine hii ndio CPU yaani Central Processing Unit maana kila kinacho fanyika kwenye kompyuta lazima kitambuliwe kwenye processor kwanza.angalia mwonekano wake
Processor inatengenezwa na makampuni makubwa mawili duniani moja ni INTEL na AMD.Pia processo zipo katika mwonekano miwili kuna za SLOT na SOCKET.
Kifaa hiki kimapatika na ndani ya kompyuta yaani ndani SU.system unit
Procesor zipo katika ukubwa mbalimbali kama 250 MHTZ,500MHTZ,1 GBHTZ,2GBHTZ,3GBHTZ n.k Tuanaandika hertz (htz) ni kizio cha frequency kwa mba unit za processor temmbea katika frequency.
2.RAM
hi ni memory inayotunza mabo yanapotaka kufanyiwa processing au baada ya kufanyiwa processing wakati kompyuta ikiwa inafanya kazi hukubwa wa ram unashilikiana na processor kuongeza spid ya kompyuta .angalia picha hizoKifaahiki long term yake ni RandomAccessMemory.pia ukubwa wake una pimwa kwa bytes yaani kuna zile za 64mb,128MB.256MB,1GB.2GB,128GB.Kifaa iki kimegawnyika katika makundi mengi kama SIMM,DIMM pia na ,RIMM .pia kiko katika mifumo tofauti kama DDR1,DDR2,DDR3(maana ya ddr ni double data rate)haiwezi kutunza kumbukumbu kompyuta ikiisha zima ni ONLINE STORAGE au VIOTILE STORAGE